Vilabu vya Ligi Kuu ya England vyafikia makubaliano haya

Vilabu vya Ligi Kuu ya England EPL vimekubaliana kufanya mabadiliko ya wachezaji hadi watano msimu huu badala ya watatu kama ilivyokuwa awali, na pia katika benchi ya ufundi idadi ya wachezaji wa akiba iongezeke kutoka wachezaji saba hadi tisa. Ni kuanzia Juni 17, 2020.

Comments

Popular posts from this blog

MWANAMKE JIFUNZE JINSI YA KUKATA KIUNO KITANDANI KAMA FENI NA KUMPAGAWISHA MPENZI WAKO KWA KIUNO LAINI

Bado ulaji wa vyakula mbali mbali kitaifa ni tatizo- Waziri Hasunga